“Acheni kujidanganya kabisa” - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 18, 2018

“Acheni kujidanganya kabisa”


Kocha wa Liverpool ameibuka na kusema kuumia kwa kiungo wa Manchester City sio pigo hata kidogo kwani timu hiyo imesheheni wachezaji lukuki wa kuziba pengo hilo. Kwa hivyo timu zingine za ligi kuu zisidhani kutakua na wepesi watapo kutana na mabingwa hao.


“Ni mchezaji mzuri sana na nlikua nataka kumsajili pindi yuko Chelsea ni nikiwa Dortmund ila Mourhino alikataa hivyo nawashangaa wanaona ni afadhali kuumia kwake, mi siko hivyo kabisa sipendi kuona mchezaji anaemia na hata awe timu pinzani na nnamuombea aweze kupona mapema na kurejea uwanjani, ” aliongeza mchezaji huyo.


Klopp kagusia pia kikosi chake huku akiwaasa wachezaji wa Liverpool kuahakutakua na mteremko kutokana na kikosi chake kuwa na wachezaji wengi, “siwezi kufurahisha kila mtu kwa hivyo sitamvumilia mchezaji ambaye ataleta mazingira hasi katika kikosi na nnawashauri wapiganie namba haswaaa kwani hakuna nafasi kwa mzembe”, alionya Klopp.

Liverpool wanahusishwa kuleta ushindani mkubwa dhidi ya Manchester City kuwania taji la ligi kuu kutokana na usajili wao wa kutisha katika majira ya joto.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages