Kiungo wa zamani wa Real Madrid na kocha wa timu hiyo
Zinedine Zidan ametangaza ni ya kuifundisha klabu ya Manchester United msimu
ujao baada ya kuachana na klabu ya Real Madrid, kocha huyo amesema anajiona
kabisa anaweza kuchukua mikoba ya mreno Mourhino.
Zidane aliondoka Real Madrid hukua akiwa na mafanikio
makubwa sana na kumfanya kuwa kocha wa kwanza kuweza kuchukua ligi ya Mabingwa
mara tatu na hivyo kujiwekea sifa kubwa barani ulaya na duniani kote, hivyo
kumfanya kuwa kocha anae hitajika na klabu kubwa duniani.
Mfaransa huyo alitegemewa kuwa mrithi wa Dechamps baada ya
kombe la dunia lakini kocha huyo wa timu ya ufaransa aliamua kuongeza mkataba wa
kuendelea kuwanoa mabingwa hao wa dunia.
Kocha wa Manchester United amekua katika mvutano kubwa na mkurugenzi
wa klabu huyo Ed Woodward na hivyo kufanya uwezekato wa yeye kuendelea kuwa
klabuni hapo kuwa mdogo sana,
mvutano huu ulitokana na kuyumba yumba jwa klabu
hiuo katima dirisha la usajili, ikumbukwe kuwa kocha huyo alisaini mkataba mpya
na klabu hiyo ambao utamueka klabuni hapo hadi 2021.
Pamoja na kusaini mkataba mpya., kocha huyo amekua na tabia
ta kuto maliza mikataba yake hasa akigikia mwaka wa tatu na hii alifanya akiwa
na klabu Chelsea ambayo ali itumikia katima misimu miwili tofauti, inter milan
na Real Madrid.
No comments:
Post a Comment