Kumekucha huko Manchester - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 16, 2018

Kumekucha huko Manchester

Ugomvi kati ya Mreno Mourhino na Paul Pogba umeibuka upya tena baada ya mreno huyi kumwambia kua kiungo huyo kama anataka kuondoka klabuni hapo aombe uhamisho  kuliko kuropoka ripoka tu.


Huku Paul akimwambia kocha wake huyo kuwa hawezi zungumza nae na kama anataka kuzungumza nae basi amtumie mwalilishi wake na sio moja kwa moja.
Ugomvi huu umezidi kushika kasi baada ya kauli ya awali ya Paul kuhusu utofauti wa kocha huyo na wa ufaransa Diddier Dechamps, pia imechicgewa zaidia na uvumi wa kiungo huyo kutaka kuhamia mabingwa wa Hispania ,Barcelona baada ya mechi na Leicester.
Inasemekana kuwa pogba yuko tayari kuondoka hata kama mvutano huo utaisha huku wakala wake akiwa amekubali ada ya uhamisho  cha paundi million 89 lakin Manchestrr united wamekataa ifa hiyo. Mourhino atatoa maelezo kuhusu mamneno ya Pogba kesho wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages