“Done Deal”. Dili la kipa Courtois kuihama Chelsea lakamilika. - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 9, 2018

“Done Deal”. Dili la kipa Courtois kuihama Chelsea lakamilika.

Thibout Courtois kafanikisaha dili lake kuihama klabu ya Chelsea na kutimkia Real Madrid kwa kitita cha paundi milioni 35.


Kipa huyo atakamilisha vipimo vya afya Alhamisi asubuhi kasha majira ya mchana kutambulishwa kwa mashabiki wa kllabu hiyo. Mbeljiji huyo anatarijiwa kusaini mkataba wa miaka sita.
Taarifa kutoka ndani ya Chelsea zinasema kua, “tumejadiliana na Real Madrid kuhusu uhamisho wa Thibaut Courtois na tumekubaliana ada ya uhamisho na imebekia kwa mchezaji na wakala wake kukamilisha makubaliano binafsi”. Hata hivyo yasemekana Chelsea imepanga kumfungulia kesi Thibaut Courtois kutokana na utovu wa nidham nakumtoza kitita cha paundi laki mbili.
Mateo atajiunga na Chelsea kwa dili la mkopo kwa msimu mzima, uhamisho huo utakimilika tu endapo makubaliono binafsi ya kipa huyo na timu yake mpya yatakamilika.
Mtandao wa kijamii wa Real Madrid,twitter. umeonysha kumkariibisha kipa huyo kwa maneno"karibu Real Madrid"  .

Baada ya uhamisho huo, Chelsea haikupoteza muda na kukamilisha uhamisho wa kipa wa Athletic Bilbao Kepa Arrizabalaga baada ya kuvunja kipengele cha ada ya uhamisho wa kipa huyo (paundi million 72).
“Nina furaha sana kujiunga na klabu hii, nawashukuru pia Chelsea kwa kuniamini”, asema kepa baada ya kusaini mkataba wa miaka saba, aliendelea kwa kusema “ni muhimu sana kwangu kupiga hatua kama hii katika maisha yangu ya soka”.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages