“Tuna hitaji kuongeza wachezaji zaidi”, asema Sanchez - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 9, 2018

“Tuna hitaji kuongeza wachezaji zaidi”, asema Sanchez


Mshambuliaji mahiri wa Manchester United Alexis Sanchez amesema klabu yake yahitaji kuongeza wachezaji wachache ili kuweza kushindania vikombe, “ukiangalia timu zingine zimefanya usajili wa nguvu, Manchester United ni timu kubwa na tulikua na msimu usio ridhisha na hasa katika maandalizi yaan pre season”.

“ukiangalia klabu kama Barcelona ni timu kubwa na imemsajili kiungo kama Artulo Vidal ambaye ana kiwango kizuri na ataisogeza timu hiyo mbeye katiaka michuona ya ndani na nje, hivyo na sisi tunaitaji wachezaji kama wawili hivi wa kiwango kikubwa”
Mshambuliaji huyo alijunga majira ya baridi ya January akitokea klabu ya Arsenal na amekua na msimu wa wakawaida kuliko ilivyo tegemewa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages