‘Hakuna tatizo kati yetu jamani’. Mourhino - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 18, 2018

‘Hakuna tatizo kati yetu jamani’. Mourhino


Kocha wa Manchester unite amsema kuwa hana tatizo kati yake na kiungo Paul Pogba na hamna wakati ambao wawili hao wana elewana kama wakati huu, kocha huyo kaeleza mamneno haya wakati ambao kuna uvumi kuwa Paul anataka kuondka Manchester United.


Kuhusu maneno ya Pogba baada ya mechi ya leicester Mourhino kasema kuwa "mengine muulizeni yeye labda atakua na majibu sahihi lakini kwangu ni shwari kabisa, na et atapigwa faini?..sijui kwa sababu tabgia nije hapa ni mchezaji mmoja tu ndio kapigwa faini".

"Msimfanye Pogba aonekane hana akili na si muelewa, kijana huyu ana akili sana na muelewa pia na ndio maana alicheza mechi ya Leicester licha ya kurejea kambini akiwa amechelewa kutokana na mapumziko ya kombe la dunia na tulipo muomba acheze akakubali", aliongeza kocha huyo.


Imefahamika kuwa mchezaji wa Manchester United Anthony Martial kalimwa faini ya kiasi cha paundi 180000 kutokana na utovu wa nidhamu alio uonyesha wakati wa safari ya maandalizi ya msimu mpya huko marmekani.

Wachezaji Nemanja,valencia na jesse watejea mazoezini ila hawata jumuishwa katika mechi dhidi ya Brighton City, Lukaku ambaye alianzia benchi mechi ilio isha anategemewa kuiongoza timu hiyo ya mashetani katika mashambulizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages