Kiungo wa Manchester City amekumbwa ba majeraha la goti
wakati wa mazoezi na hivyo atakya nnje kwa muda wa miezi mitatu, kuumia huko
kwa mchezaji huyo mwenye uwezo maridadi kabisa uwanjani ni pigo kubwa kwa
mabingwa hao wa England hasa katika mbio za kutetea kombe la ligi kuu england.
De-Bruyne alionekana akiwa gym na wenzie wakifanya mazoezi
ya viungo na pia alionekana mchana akiwa uwanja wa mazoezi na ndipo alipo pata
majeraha ya goti, taatifa zinasema kuwa kiungo huyo aliumia sehemu ile ile alio
umia mwaka 2016 pale alipo kua akikabana na mchezaji wa Everton na kumuweka
nnje kwa kipindi cha wiki tisa.
Matabibu wa klabu hiyo wasema kua uchunguzi wa kina
unaendelea na taarifa zaidi juu ya majeraha hayo zitatikewa kwa katika tovuti
ya klabu hiyo.
Hata hivyo mabingwa hao wana wachezaji wa kuziba oengo la
kiungo huo mbeljiji na hao wakiwemo akina David Silva,Benardo Silva na kiungo
chipukizi phill forden.”nimekua kama mchezaji, najiona kiongozi kabisa na kwa
hili namshukuru sana kocha kwani bila yeye nisingekua hapa nilipo”, De-Bruyne.
No comments:
Post a Comment