Wachezaji wa Arsenal wafurahishwa na mbinu za kocha wao mpya, wasema kuwa mbinu
zake za ufundishaji ni nzuri na zina mwelekeo mzuri sana, na wataweza kuzinasa
vizuri filisofia zake hasa katika kipidi hiki ambacho wanabadilika kutoka mbinu
za Arsene Wenger.
Katika uongozi wa
Arsene, Arsenal ilikua inacheza mpira wa kushambulia sana na pasi fupi fupi, mfumo
hii unajulikani kwa jina la kitaalamu ‘attacking football’ lakini mfumo huu
hasa kaw mfaransa huyu ulkua na faida kubwa endapo tu watakutana ana timu
ndogo, Arsenal iliweza kuzinyanayasa timu ndo na pia ili kuwa mkate kwa chai
mbele ya timu kubwa tena kwa vipigo vya aibu mfano 8-2 dhidi ya Manchester united,
6-0 mbele ya Chelsea, 5-0 mara mbili dhidi ya Bayern Munchen ya ujerumani.
Hvyo basi baada ya Unai
kukumbana na kipigo cha bao mbili moja kutoka kwa mabingwa watetezi katika yake ya kwanza ya msimu hivyo kummpa wakati
mgumu, kutokana na mechi hiyo yaonyesha kwamba Kocha huyo bado ana kazi ngumu
ya kufanya ili kurudisha timu hiyo katika ubora wake.
No comments:
Post a Comment