· Zaha katengewa mezani mshahara wa paund 125,000 kwa wiki ili kumbakiza
· Lakini Zaha kakataa mshara huo na kuomba kuondoka klabluni hapo
Chelsea yaonekana kuongoza katika mbio za kumnasa kiungo huyo machachari wa Palace, huku palace wakiwa hawako tayari kuona nyota wao huyo akihama klabu yao, waliamua kumuongeza mshahara wa pauni 125,000 ambayo zaha kaikataa.
Matajiri wa London hawajakata tamaa na wanampango wa kuongeza dau ili kumnashawishi ajiunge na klabu yao
Hata hivyo Zaha anainekana yuko tayari kujiunga na matajiri hao wa nondon baada ya kukataa kujiunga na klabu mbali mbali ikiwamo Everton.
Zaha alijiunga na palace kwa mara ya pili baada ya kushindwa kufanya vizuri katika klabu ya Manchester United.
No comments:
Post a Comment