Manchester united yapewa nafasi ya kumsajiri mlinzi wa Bayern Jerome Boateng mwenye thamani ya kiasi cha paund 50 million.
Klabu ya Manchester united yaweza kumsajili mlinzi wa Bayern mwenye asili ya Ghana kwa kiasi cha pauni 50 million Manchester pia wako katika mazungumzo ya kumnasa mchezaji wa Barcelona Yerry Mina kama mbadala.
Tetesi hizi zimekuja baada ya kukwama kumsajili beki wa Leicester, Harry Maguire nahii ni baada ya klabu hiyo kusisitiza kua hauzwi.
Kipa Joel Pereira wa Manchester kajiunga na klabu ya Vitoria kwa mkopo, wakati huo huo united yataka kumuachia mlinzi wake wa kati Marcus Rojo.
No comments:
Post a Comment