Madili Yanayo Weza Kukamilika Ndani ya Masaa 48 ya dirisha la usajili - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, August 7, 2018

Madili Yanayo Weza Kukamilika Ndani ya Masaa 48 ya dirisha la usajili



THIBAUT COURTOIS (Chelsea kwenda Real Madrid, £40m).
Siku za hivi karibuni kipa wa Chelsea amekua akileta mgoma baridi wa kukataa kufika mazoezini na kufainya klabu hiyo kumpiga faini ya pauni laki mbili na inapanga kukutana mmiliki wa mchezaji huyo raia wa ubeljiji.


Ikiwa kabakiza miezi miwili tu katika mkataba wake. Chelsea imejikuta katika wakati mgumu ya kumpoteza mchezaji huyo bure majira ya joto. Uwezekano wa kipa huyo kutimka klabuni hapo ni mkubwa hivyo kuwafanya Chelsea waanze kumtafta mrithi wake huku kipa Leicester city kasper schmeichel £35m au Oblack wa Atletico Madrid mwenye thamani ya pauni million 89 kuwa kwenye rada ya matajiri hao wa London.

KASPER SCHMEICHEL (Leicester kwenda Chelsea, £35m).
Kipa huyu wa Leicester alikua na mashindano mazuri ya kombe la dunia akiwa na Denmark na kumfanya awe kivutio kwa timu nyinigi, na amekua miongoni mwa rada za Chelsea kama mbadala wa Courtois.

MATEO KOVACIC (Real Madrid to Chelsea, £50m) .
Boss mpya wa Real Madrid Julen Lopetegui  amekanusha uvumi wa kuwa nyota huyo wa los blancos yuko mbion kutimka klabuni apo na kuwa bado yuko kwenye mipango yake.
Lakini vyanzo vya karibu na klabu vinaeleza kua Mateo yuko mbioni kuondaka kutokana na kugoma kuwasili katika mazoezi na pia alikataa ofay a kujiunga na Manchester United kisa kikiwa hataki kuwa chini ya kocha Mreno Jose Mourhino.

Aaron Ramsey pia amekua katika mipago ya  boss Sarri kuimarisha kiungo baada ya kufanywa pazia na viungo wa Manchester City.

JACK GREALISH (Aston Villa to Tottenham, £20m).
Kiungo huyo wa Aston Villa amekua akitakiwa na klabu ya Spurs ambayo haijafanya usajili wowote na washabiki wa Spurs wana wasiwasi kama kablu yao itafanikiwa kusajili mchezaji hata mmoja.

Kocha wa Aston villa amesema kuwa “Jack ni mchezaji mzuri na anamchango mkubwa katika kikosi ila hatutamzuia kujiunga na timu ya chaguo lake”, inasemekana Jack anataka kucheza ligi kuu na ligi ya mabingwa ulaya.
“Vijana wengi wana ndoto za kutimiza na nafasi inapokuja inaongeza natumaini”, alisema Bruce.
NABIL FEKIR (Lyon kwenda Liverpool au Chelsea, £60m).
Aliachwa nnje ya kikosi wakati timu yake ilipo ikabili Chelsea katika mechi ya kujifua na msimu mpya, hivyo kuchochea uamisho wake kuondoka kilabuni hapo.
Fekir alikaribia kujiunga na Liverpool mwanzoni mwa dirisha lakini mazugumzo yalikwamwa njian na uhamisho huo kushindikana.

OUSMANE DEMBELE (Barcelona kwenda Manchester United au Arsenal, £100m)
Huku Martial akiwa haeleweki huku akishindwa kiwango chake kikipanda na kushuka. Mourhino ameiagiza klabu yake imtaftie mshambuliaji wa pembeni. Mreno huyo amemuhusisha Dembele kua katika mipango yake kuwataka mabosi wake wamnyakue.
Mshambuliaji huyo amekua akiwindwa na washika bunduki wa jijini London na kuifanya vita hiyo kunoga, ingawa inaonekana kutakua na dili la mkopo wa msimu mmoja.

MARCOS ROJO (Manchester United kwenda Everton, £30m).
Muargentina huyo amekua akihushwa na kuihama timu hiyo ya Manchester kuelekea Everton ili kupisha ujio wa mabeki kama Yerri Mina wa Barcelona na Jerome Boateng wa Bayern Munich.
Manchester inhitaji kupunguza mabeki ili kuweza kusajili mabeki wengine na Rojo anaonekana kutimka klabuni hapo.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages