Baada ya kutangatanga muda mrefu Joe Hart kakmilisha usajili kwenda Burnley kwa kitita cha paund million 3.5 akitokea Manchester City ili kupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.
Joe alipoteza nafasi yake baada ya ujio wa Claudio Bravo hivyo kupoteza matumaini ya kuichezea timu ya taifa ya Uingereza, kipa huyo alitolewa kwa mkopo kabla ya kuuzwa moja kwa moja. Hart ameishukuru klabu yake ya zamani kwa kumpa nafasi tangu akiwa kinda wa miaka 19 na sasa anaondoka kama mkongwe wa miaka 31,”nlikuja hapa kama mtoto na sasa naondoka, nashukuru sana mashabiki na wachzaji wenzangu ” aliongeza.
No comments:
Post a Comment