Pogba Ataka Kuondoka Machester United - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, August 8, 2018

Pogba Ataka Kuondoka Machester United



Kiungo wa Manchester United Paul Pogba ameimbai klabu yake hiyo kuwa yuko tayari kui hama klabu hiyo na kutimkia Barcelona na hii imekuja tu baada ya mmiliki wake kusema kuwa wamuachie aondoke.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Paul zasema kuwa kiungo huyo amekubaliana na miamba ya Hispania, Barcelona kitita cha paundi 3500000 kwa wiki. Paul amekua akiwataarifu wenzake kuwa ana mpango wa kutimka katika klabu hiyo.
Manchester united wameendelea kukanusha kuwa Paul hauzwi kwa kiasi chochote kile nah ii inachochewa na muda mdogo ulio bakia wa dirisha la usajili, kiungo huyo mwenyewe amesema kua anapenda kucheza na mastaa wa Barcelona akiwemo Lionel Messi na kiungo mwenzie wa zamani Artulo vidal ambaye alijiunga na Barcelona dirisha hili.
Paul amekua na misimu miwili isiyo na tija kubwa kwa klabu hiyo ya mashetani wekundu na kumpelekea lawama zote kwa kocha wake, na hii kutokana na mfumo wa kocha huyo wa kulinda kuliko kushambulia.
Mourhino aliibuka na kukanusha vikali madai ya Paul na kusema kwamba kiungo huyu anapaswa kukaza buti na mfumo hauna mchango wowote katika kiwango chake bali yeye mwenyewe.
 maneno hayo yalimtokea Mourhino puani baada ya kiungo huyo kufanya vizuri akiwa na kombe la dunia katika mfumo rafiki na uchezaji wake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages