Man united wafikiria mabadilishano - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 5, 2018

Man united wafikiria mabadilishano



Man united wanafikiria mabadilishano ya Antony Martial na mchezaji wa Willian wa Chelsea
Wachezaji wote wakiwa wanatafuta uelekeo mpya, huku martial akitaka kuachana Mourinho na Willian akitafuta klabu ya kumpa nafasi ya kucheza tena kikosi cha kwanza.

Willian ameshindwa kuhamia Barcelona baada ya kutofikia makubaliano baina ya klabu hizo mbili, na hii ni kutokana na Chelsea kuweka dau kubwa na kuifanya mabingwa wa Hispania kukata tamaa.
Wakati huo huo maelewano baina ya Martial na Mourinho yali ingia dosari baada ya Anthony kushindwa kurejea kwenye kablu yake(Manchester United) ilio kua huko Marekani kwenye maandalizi ya ligi kuu Uingereza. Huku Mourhino alikiri kua hakumzuia mchezaji huyo kujiunga na familia yake.


Manchester Uited  yaendeleza mapambano yake katika usajili huku Hary Maguire akiwa ndio chaguo la kwanza la Mourhino.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages