Man City yanyakua Ngao ya hisani - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 5, 2018

Man City yanyakua Ngao ya hisani



Ngao ya hisani: Manchester city 2-0 Chelsea,,Aguero afikisha bao la 200 akiwa na Man City mechi inaendelea
Chelsea XI: Caballero, Azpilicueta, Rudiger, Luiz, Alonso, Jorginho, Fabregas, Barkley, Pedro, Hudson-Odoi, Morata
Manchester City XI: Bravo, Walker, Stones, Laporte, Mendy, Fernandinho, Foden, Mahrez, Bernardo, Sane, Aguero

Baada ya kuvunja rekodi kibao msimu ulio pita, timu ya Manchester city imeingia msimu mpya kwa mwendo ule ule na hii ni baada ya kuichabanga Chelsea mabao mawili bila majibu.

Manchester City ilianza mechi kwa kasi na pasi fupi fupi huku Aguero akionekana katika makali yake ya msimu ulio pita, ingawa Aguero alionekana mwenye ari kubwa ni kiungo kinda wa Man City Foden ndio alie azima macho ya mashabiki na kumoelekea kupata shangwe za kutosha.

Kinda huyu wa Man City alii igeuza ngome ya Chelsea na kuifanya ionekane mboga kabla ya kutoa pasi maridadi kabisa kwa Sergio Aguero nae hakufanya makosa zaidi ya kutikisa nyavu

Mnamo dakika ya 58' Man City iliandika goli la pili kupitia Sergio Aguero akipokea pasi safi kutoka kwa kiungo machachari David Silva na kuidhoofisha Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages