Rashford arejea mazoezini baada ya likizo ya kombe la dunia, Martial azidi kuibua maswali zaid….
Mshambuliaji wa Manchester United arejea mazoezini mapema kuliko ilivo tegemewa baada ya mapumziko marefu ya kombe la dunia, Rashford ameonekana akielekea uwanja wa mazoezi wa Carlington akiwa na wachezaji wenzake (De gea,Phill jones na kiungo mpya Fred).
Kuto onekana kwa Martial katika uwanja wa mazoezi kwaendelea kuibua maswali mengi kwa washabiki wa timu hiyo kwamba huenda siku za Martial kuendelea kukipigia Man United zahesabika.
Licha ya uvumi huo kocha mkuu wa timu hiyo Jose Morhino ameendelea kusisitiza kuwa Anthony bado yuko katika mipango yake, na wana kazi kubwa ya kuifukuzia Machester City.
Mshambuliaji lukaku ameambatana na wachezaji wenzake wa Man united baada ya mapumziko ya kombe la dunia, awali ilikua inahofiwa kua lukaku angechelewa kurudi mazoezini kutokana na kuumia wakati akikipigia timu yake ya taifa katika michuano ya kombe la dunia.
No comments:
Post a Comment