Yerry Mina kujiunga na Everton - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, August 6, 2018

Yerry Mina kujiunga na Everton


Klabu ya Everton yakubaliana na Barcelona juu ya beki wao Yerry Mina kwa ada ya kiasi cha pauni milioni 28, Mina amekua akihusishwa na kuhamia Manchester United lakin dili laonekana kuhammia Merseyside.

Endapo dili litakamilika Mina atakua mchezaji wan ne kujiunga na Everton baada ya Richarlison, Joao Virginia na mchezaji mwenzie wa zamani wa Barcelona Lucas Digne. Mina alijiunga na Barcelona majira ya baridi (january) na kufanikiwa kicheza mechi sita tu katika kikosi cha Catalunya  pamoja nakunyakua ubingwa wa ligi kuu Hispania.
Ingawa ameonesha kiwango kizuri akiwa na Columbia katika kombe la dunia, beki huyo wa kati hatarajiwi kua katika kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa Hispaniola na hivyo kumfanya awe na shauku ya kujiunga na klabu itakayo mpa nafasi ya kucheza.
Everton ambayo iimaliza ligi ikiwa nafasi ya nane itaanza ligi kwa kuwakabili wageni Wolveshampton na kasha kuwafuata Southampton.

Walio jiunga na Everton

Richarlison - Watford - £35.28million
Lucas Digne - Barcelona - £18.18million
Joao Virginia - Arsenal –haijawekwa wazi


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages