“Tunaweza kua mabingwa tena”. Jesus - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, August 6, 2018

“Tunaweza kua mabingwa tena”. Jesus



Baada ya kuvunja karibu kila rekodi msimu ulio isha mshambuliaji wa Man City kaibuka na kusema, “kwa kiwango tulicho onesha kwenye mechi dhidi ya Chelsea nadhani tuna nafasi kubwa ya kulinyakua taji la ligi kuu kwa mara ya pili mfululizo”.


Timu zitakuja zimejiandaa kukabiliana na sisi kwasababu tu ni mabingwa watetezi, lakini sisi tumejiandaa kuikabili changamoto na tuna uhakika tutashinda ndani na nnje ya uwanja kwan tuna ukomavu wa kutosha.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages