Ricardo Rodriguez kuelekea The Gunners? - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, August 6, 2018

Ricardo Rodriguez kuelekea The Gunners?



Beki mahiri wa AC Milan anekana yuko mbioni kujiunga na vigogo hao wa London baada ya Arsenal kuonyesha nia ya kumsajili beki huyo wa kushoto raia wa Switzerland mwenye miaka 25.
Arsenal inahitaji kumarisha safu yake ya ulinzi baada kolasinac kuumia, beki huyo aliumia katika mechi dhidi ya Lazio na kumfanya akosekane nnje ya uwanja kwa muda wa wiki 10, harikadhalika Arsenal itaendelea kumkosa beki wao Nacho kwa kuwa bado hajarejea kutoka mapumzikoni.
Hivyo kuicha Arsenal ikiwa inamtegemea Ainsley Maitland-Niles kuziba pengo la wachezaji hao na kumfanya kocha kua na machaguzi machache.

The Gunners wataanza ligi dhidi ya mabingwa watetezi Man City ambayo imetoka kuinyuka Chelsea katika mechi ya ngao ya hisani kwa mabao mawili bila majibu.
Wakati huo huo beki wa mpya wa Arsenal Stephan Lichtsteiner amesema Arsenal ya msimu huu ni motoo baada ya Unai kuifua timu hiyo vya kutosha, huku wakifungwa mechi moja tu katika mechi za kujiandaa na msimu mpya. Beki huyo mwenye umri wa miaka 34 alijiunga akitokea Juventus kwa usajili wa bure.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages