“Kumbe tunaweza kutiririka”, Sarri. - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 12, 2018

“Kumbe tunaweza kutiririka”, Sarri.


Kocha mpya wa Chelsea ameisifu timu yake baada ya ushindi wa tatu bila majibu dhidi ya Huddersfield katika uwanja wa John Smith. Magolli ya Chelsea yakiwa yamefungwa na Jiorghino kwa mkwaju wa penati, Kante na Pedro.


“ni kweli kipindi cha kwanza kilikua kigumu, tulishindwa kucheza mpira nahii nadhani ni kwasababu wachezaji hawajazoea mfumo wa 5-3-1-1, ila wakiuzoea tu basi itakua timu tofauti ” alisema sari.
Sarri amepanga kuifanya Chelsea iwe ya tofauti kwa kuwa na mpira wa kasi na kuvutia kitu ambacho mara nyingi mliki wa klabu hiyo huwa anatamani,”sitaki kuifanya chelsea iwe kaba Napoli ila nataka kuifanya iwe timu bora kabisa na icheze mpira mzuri”  aliongeza kocha huyo.
Muitaliano huyo alijiunga na Chelsea akitokea Napoli baada ya kombe la dunia kuisha na hivyo kua na muda mfupi wa kuji andaa na ligi, ujio wa kocha uyo ulifungua milango kwa kocha wa zamani wa klabu hiyo Antonio Conte.
Chelsea sasa yakaa kileleni kwa kuwa na uwiano mkubwa wa magoli ya kufunga na kufungwa yaan ikiwa na magoli matatu bila kuruhusu nyavu zao kuguswa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages