“Kuna maneno siwezi kuzungumza…. La sivyo faini itanihusu”, Paul Pogba - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 12, 2018

“Kuna maneno siwezi kuzungumza…. La sivyo faini itanihusu”, Paul Pogba


Paul Pogba asema hawezi kuzungumza yaliyo moyoni mwake la sivyo faini ita muhusu, kiungo huyo wa Manchester united amedokeza kuwa anahitaji upendo tu awapo klabuni hapo ili kuonyesha makali yake ya kombe la dunia.

Kiungo huyo mwenye miaka 25 alimaliza wiki kwa kishindo baada ya kuingoza timu yake kuibuka na ushindi wa goli mbili moja dhidi ya Leicester City akiwa kapteni, na kufuta uvumi wa kuhamia klabu ya Barcelona ilio kuwa iki mmezea mate.
“Mimi ni yule yule wa kombe la dunia timu tu ndio tofauti, inakua rahisi kucheza mpira pale unapokuwa na furaha na hasa unapoaminiwa na kocha wako hivyo inaleta hamasa Zaidi vinginevyo ni karaha tupu”, alisema kiungo huyo alipokua anagusia uhusiano wake na Mourhino ambao bad una mikwaruzo.
Na alisema maneno hayo kulinganisha kocha wake wa timu ya taifa ya ufaransa dhidi ya kocha wake wa timu ya Manchester united, kiungo huyo hakufurahia maneno ya Mourhino baada ya kombe la dunia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages