“Natagemea changamoto mwanzoni mwa msimu”, Sarri atoa angalizo. - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 11, 2018

“Natagemea changamoto mwanzoni mwa msimu”, Sarri atoa angalizo.


Kocha mpya wa kablu ya Chelsea ameeleza dukuduku lake kuhusu changamoto za ligi kuu ya Uingereza, Sarri amesema kuwa anahitaji miezi miwili ili timu yake kuwa imara na pia anaiomba bodi irekebishe mambo kadhaa katika dirisha la msimu ujao, kwani anataka timu yake iweze kucheza kwa kasi sana.


“Magoli ni tatizo kwa Chelsea sio tu msimu ulioisha hata wakati wa maandalizi ya ligi kuu tulipa magoli machache sana ,hivyo tunachoitaji ni kasi, kasi itasaidia kupatakina kwa magoli kiurahisi na hilo ndio jukumu langu kama kocha wa klabu”.


“Nadhani kikosi change kitaku kimekamilika baada ya ujio wa Matheo Kovavic hivyo hatutakua na shida sana na kama tutaongeza huko mbeleni basi watakua wachache”.

Pia muitaliano huyo amewaambi mashabiki wa Chelsea kuwa wasitegemee kuwa kipa wao mpya Kepa Arrizabalaga, ambaye atakuwepo katika kikosi cha kwanza katika mechi yao ya ufunguzi atakuwa na kiwango sawa na cha Courtois kwa muda mfupi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages