“Nmejikuta katika nafasi ambayo sikutegemea”, Mourhino ashusha kijembe. - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 11, 2018

“Nmejikuta katika nafasi ambayo sikutegemea”, Mourhino ashusha kijembe.


Kocha wa Manchester United ameonyeshwa kutoridhika kwake na katibu mkuu wa klabu hiyo ED Woodward kwa kushindwa kusajili wachezaji alio wataka katika dirisha la usajili.
“nilikua na mipango mingi sana wakati dirisha la usajili lilipofunguliwa na sikuwa nategemea kama mambo yangeishia hivi”, alisema Mourhino.


“natamani sana ningekuwa na nafasi ya usemi katika kamati ya usajili, nadhani kwakuwa ni kocha na sio maneja wa timu, mpira wa miguu unabadilika na nafikiri mbeleni tutakuwa ni makocha tu sio mameneja ”.


“msimu huu utakua mgumu sana kwetu ila bado mapema ngoja tuone hadi mwishoni wa novemba na mwanzoni mwa decemba, hapo ndio tutajua tumesiamia wapi”.
“timu imefanya vizuri sana na Paul ni “mnyama” ameonesha kiwango kikubwa huku akiwa na muda mfupi tu tangu arejee katika mazoezi, tulidhani angehimili dakika 60 tu lakini hadi 80 alikuwa vizuri, Hatari sana! ” , aliongeza Mreno huyo alipoulizwa baada ya mechi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages