“Nataka kuwa juu”, asema beki wa Manchester United - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 11, 2018

“Nataka kuwa juu”, asema beki wa Manchester United


Baada ya kuipatia timu yake bao la ushindi, Luke Shaw ambaye msimu uliopita alikua na kiwango kibovu amesema kuwa anataka kufanya vizuri katika ligi kuu ya msimu huu. Luke amesisitiza kuwa uwezo anao na nia anayo ya kufanya vizuri licha ya watu ku-mbeza.


“Sitaki kuongea sana kwani bado mapema, ila nmekua nikafanya juhudi kubwa ili kufikia malengo ninayo yataka na pia kuwaonyesha watu kuwa nia ipo”,aliongeza mchezaji huyo.
Kocha wa mchezaji huyo hakuwa mchoyo wa fadhila baada ya kumpongeza akisema “amefanya vizuri…Vizuri sana na sio tu kwa sababu alifunga, la-hasha ila ni dadika 90 zote na pia alifanya kosa moja tu ambapo refa wa pembeni angemsaidia kama angekua makina na kumpa faulo”.


Manchester united imeanza ligi kwa ushindi wa bao mbili kwa moja dhidi ya Leicester city na kuifanya timu hiyo kukalia kiti cha msimamo wa ligi, huku wapinzani wao wakitupwa mkiani.
Ligi hiyo itaendelea tena leo kwa mechi kadhaa kupigwa na zingine zikifuata siku ya jumapili hivyo kukamilisha ufunguzi wa ligi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages