Perez Mbioni Kutua West Ham - spn5swahili

Breaking News

test banner

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, August 6, 2018

Perez Mbioni Kutua West Ham



Mshambuliaji raia wa Hispania yuko mbioni kujiunga ya klabu ya wagonga nyundo wa London, West ham. West Ham imezidi kuimarisha kikosi chake baada ya kuwanyakua wachezaji nyota akiwemo Wilshere alietokea Arsenal, Felipe Anderson, Issa Diop na Andriy Yarmolenko.
Huku lucas akionekana kutaka kubakia ligi kuu ya uingereza, ikumbukwa kwamba Arsenal ilimsajili mshambuliaji huyo wa raia Hispania kutoka klabu ya Deportivo kwa ada ya pauni ya milioni 17 na hakufanikwa kupenya katika kikosi cha kwanza

West Ham itakipiga na liverpool katika mechi yake ya kwanza siku ya Jumapili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages